Makazi mpyaNimehama eneo tofauti. Sasa nipo al-Ghubra. Basi, Niongee Kiarabu lakini wazazi wangu wapya wanaongea Kiswahili. Wanatoka Kenya, mjini Mombasa. Ijapokuwa wao ni ‘Omani’, wao ni Swahili pia. Wana bendera ya Kenya iko sebule. Ninashangaa kuongea Kiswahili zaidi kuliko kilometa elfu tatu kutoka Afrika Mashariki. Baba na mama wanakaa na mwanao nyumba moja imeyokatwa. Upande ni Wazazi, halafu upande nyingine ni mwanao na familia yake. Mke wake anatoka Kenya. Hawaongei Kiarabu. Wao wako mwema sana. Wamenipokea kabisa. Nimefurahi sana.
Picha hii ipo daraja juu ya barabara karibu na nyumba yao.
Ah, Kuna mambo muhimu sana niliyosahau kuwaambia: The father is the great-grandson of Tippu Tip!! That is, his father’s mother was Tippu Tip’s daughter! If you were in my Middle East Research Seminar, or know about my Masters paper topic, I know you will understand how crucial that is!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s


%d bloggers like this: